UMEME WA REA HAUTABAGUA NYUMBA YOYOTE KIJIJINI

President Barack Obama on Friday urged Russia to stop “intimidating” Ukraine and to pull its troops back to “de-escalate the situation.” He told CBS that the troop buildup may “be an effort to intimidate Ukraine, or it may be that [Russia has] additional plans.”

Review Point Top Position

Performance - 6.8
Design Quality - 7.5
Code Readability - 7.8
Speed Booster - 5
Search Engine - 8.6
Summary
State Department spokeswoman Marie Harf played down the notion that there are as many as 100,000 Russian troops now bordering Ukraine, as Olexander Motsyk, the Ukrainian ambassador to the U.S., said Thursday on Capitol Hill. “I hadn’t actually seen the hundred-thousand number,”
7.1
SERIKALI imesisitiza kuwa umeme wa REA hautabagua nyumba ya mwananchi
yeyote yule aliyeko kijijini bali kila atakayelipia iwe kidogo kidogo au kwa mkupuo mmoja atafungiwa huduma hiyo ili imsaidie kuinua uchumi wake.

Kauli hiyo imetolewa jana na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani alipokuwa akizungumza katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika
vijiji vya Chemkeni na Ilege wilaya ya kaliua mkoani Tabora.

Dkt.Kalemani alisema kuwa serikali imeshaagiza Wakala wa Umeme Vijijni REA kuvipatia umeme vijiji na nyumba zote pasipo kuangalia hali ya mtu au aina ya nyumba iliyopo.

Alisema serikali inawajali sana wananchi wake ndio maana iliamua kushusha hata bei ya kuungnishiwa umeme huo na kuwa shilingi 27,000 tu lengo likiwa kuwapatia unafuu wananchi wake hususani waishio vijijini.

“Hata hivyo Waziri huyo aliwataka wakandarasi kutoka kampuni ya POI inayofanya kazi ya kuunganisha umeme katika wilaya hiyo kuhakikisha wanakamilisha upelekaji wa umeme katika vijiji vyote vya wilaya hiyo.”

Alifafanua kuwa mkandarasi huyo anatakiwa kukamilisha upelekaji umeme ifikapo katika vijiji vyote vya wilaya hiyo ifikapo Desemaba 31 mwaka huu vinginevyo itatoa uamuzi mwingine.

Alisisitiza kuwa makubaliano ya awali ya mkataba wa kusambaza umeme vijijini unatakiwa uwe umekamilka ifikapo Desemba 31 mwaka huu kwa wakandarasi wote, hivyo ni muhimu kwa kila kampuni kutimiza makubaliano ya mkataba kati yake na serikali.

Aidha Dkt. Kalemani aliwataka wananchi kutunza miundombinu ya umeme ili kuwasaidia kiuchumi kwani miundombinu hiyo ikiharibika wote utakasa umeme na serikali itapata hasara ya kuirudisha miundombinu hiyo.

Aliagiza Uongozi wa REA kuhakikisha wananchi wote wanaunganishiwa umeme na hata kama nguzo hazijafika wasilipie gharama yoyote kwa kuwa serikali imeshazilipia, atakayeenda kinyume na maelekezo hayo atachukuliwa hatua.

You may also like

0 comments

Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh