WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akitoa Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma ambapo alieleza kuwa katika kipindi cha Januari–Juni 2019, Pato la Taifa lilikua kwa 6.9% ikilinganishwa na 6.8% katika kipindi kama hicho mwaka 2018.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akitoa Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma ambapo alieleza kuwa katika kipindi cha Januari–Juni 2019, Pato la Taifa lilikua kwa 6.9% ikilinganishwa na 6.8% katika kipindi kama hicho mwaka 2018.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akitoa Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma ambapo alieleza kuwa katika kipindi cha Januari–Juni 2019, Pato la Taifa lilikua kwa 6.9% ikilinganishwa na 6.8% katika kipindi kama hicho mwaka 2018.

Meza Kuu ikiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati) wakisikiliza kwa makini maswali ya waandishi wa Habari, baada ya kutolewa kwa Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.”

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga, akieleza hatua ambazo
Benki hiyo inazichukua katika kudhibiti fedha haramu, wakati wa mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na wanahabari kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.

“Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati) na Naibu
wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa pili kushoto), Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania,
Prof. Florens Luoga (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Idara na

Vitengo wa Wizara hiyo baada ya mkutano kati ya Waziri Mpango na wanahabari kuhusu
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa
Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya
Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.

. “Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akipeana mkono na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Adlof Ndunguru, baada ya kutolewa kwa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.”

Jijini Dodoma.ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Adlof Ndunguru, baada ya kutolewa kwa taarifa ya Hali ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akipeana mkono na Naibu

Mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na wanahabari kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma.”

Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Fedha na Mipango wakisikiliza kwa makini taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, iliyokuwa ikitolewa kwa Vyombo vya Habari na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor
Mpango (Mb) (hayupo pichani), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini
Dodoma.”

Katika kipindi cha miaka mitatu ya mwanzo (2016 – 2018) ya utawala wa Rais Magufuli, Uchumi umekua kwa kasi ya wastani wa 6.9%. Mwaka 2018, uchumi ulikua kwa 7.0% ikilinganishwa na 6.8% mwaka 2017 na 6.9% mwaka 2016.”

Mwaka 2018, Tanzania ilikuwa nchi ya kwanza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha ukuaji wa uchumi kwa nchi za SADC, nchi ya pili kwa nchi za EAC; na nchi ya tano kwa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara ikitanguliwa na Eritria (12.2%), Rwanda (8.6%), Ethiopia (7.7%) na Ivory Coast (7.4%).

Katika kipindi cha Januari–Juni 2019, Pato la Taifa lilikua kwa 6.9% ikilinganishwa na 6.8% katika kipindi kama hicho mwaka 2018.

Ukuaji huu ulichochewa zaidi na kuongezeka kwa uwekezaji, hasa katika miundombinu kama vile ujenzi wa barabara, reli na viwanja vya ndege; kutengemaa kwa upatikanaji wa nishati ya umeme; kuimarika kwa huduma za usafirishaji; kuongezeka kwa uzalishaji wa madini hasa dhahabu & makaa ya mawe; na kuongezeka kwa uzalishaji wa mazao ya kilimo kutokana na hali nzuri ya hewa.

Sekta zilizokua kwa kasi kwa kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2019 ni pamoja na ujenzi (16.5%), uchimbaji madini na mawe (13.7%), habari na mawasiliano (10.7%), maji (9.1%) na usafirishaji na uhifadhi wa mizigo (9.0%).”

You may also like

0 comments

Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh