TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI USALAMA KUIMARISHWA JIJINI DAR ES SALAAM

Pentagon officials say they believe there could be close to 50,000 Russian troops bordering the former Soviet republic and inside Crimea, recently seized and annexed by Moscow. That estimate is double earlier assessments, and means Russian President Vladimir Putin could order a lighting strike into Ukrainian territory with the forces already in place. The higher troop count was first reported by the Wall Street Journal.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawashukuru wananchi wote kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum DSM, jambo ambalo limesaidia kupunguza uhalifu kwa kiasi kikubwa hapa Jijini.

Kiujumla hali ya usalama hapa Jijini imeendelea kuimarika kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Desemba, 2019 na matukio makubwa ya kutumia silaha yamepungua kwa kiasi kikubwa sana na hii ni kutokana na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama na wananchi kuendelea kutupa taarifa za uhalifu katika kipindi chote cha mwaka 2019.

Tunapoelekea katika mkesha wa mwaka mpya 2020, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawahakikishia wananchi kuwa limejipanga kikamilifu kuimarisha ulinzi maeneo yote ya jiji na viunga vyake.

Aidha, Jeshi la Kanda Maalum Dar es Salaam limepiga marufuku kufyatua fataki bila kibali kutoka kwa Inspekta Jenerali wa Polisi, kuchoma matairi barabarani na kupiga baruti hovyo katika maeneo ya hospitali, makazi ya watu na maeneo yanayozunguka shule za bording kipindi cha mkesha wa mwaka mpya 2020.

“Vilevile doria zitaimarishwa kipindi chote cha kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya katika maeneo yote yenye mikusanyiko ya watu kama vile nyumba za ibada, fukwe za bahari na kumbi za starehe.”

Pentagon officials say they believe there could be close to 50,000 Russian

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limepiga marufuku DISCO TOTO.”

Harf said. “ULINZI KUIMARISHWA UWANJA WA TAIFA KATIKA MPAMBANO WA WATANI WA JADI SIMBA VS YANGA TAREHE 04/01/2020.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limejipanga kikamilifu kuimarisha ulinzi katika uwanja wa Taifa tarehe 04/01/2020 siku ya mechi ya watani wa jadi SIMBA na YANGA.”

Mashabiki na wapenzi wa Simba na Yanga wafike kwa wingi uwanjani hapo kwani kutakuwa na ulinzi wa uhakika.Aidha Jeshi la Polis Kanda Maalum linawaasa mashabiki kushabikia kistaarabu na kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa sheria, hivyo basi hatutasita kumchukulia hatua kali za kisheria mtu yeyote atakayejaribu kufanya fujo.”

Pentagon officials say they believe there could be close to 50,000 Russian

Kwa niaba ya Maofisa,Wakaguzi na askari napenda kuwatakia heri ya Mwaka mpya 2020 wakaazi wote wa DSM na waendelee kutupa ushirikiano kwa mwaka 2020.

LAZARO B. MAMBOSASA – SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM
31.12.2019

You may also like

2 comments

 1. Alexander Jones 6 years ago

  President Barack Obama on Friday urged Russia to stop “intimidating” Ukraine and to pull its troops back to “de-escalate the situation.” He told CBS that the troop buildup may “be an effort to intimidate Ukraine, or it may be that [Russia has] additional plans.”

  Reply Like Dislike
  1. Inna Goodman 6 years ago

   Pentagon officials say they believe there could be close to 50,000 Russian troops bordering the former Soviet republic and inside Crimea, recently seized and annexed by Moscow. That estimate is double earlier assessments, and means Russian President Vladimir Putin could order a lighting strike into Ukrainian territory with the forces already in place.

   Reply Like Dislike
Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh