WAKULIMA TUMBAKU WATAKIWA KUTUMIA MAJIKO YA KISASA

Majiko banifu ya kisasa yanatumia kuni kidogo sana kukaushia tumbaku na yanaongeza ubora wa tumbaku ya mkulima, kuanzia sasa kila mkulima afuate maelekezo ya wataalamu na azingatie matumizi ya majiko banifu ya kisasa”alisema.

WAKULIMA wa zao la tumbaku Mkoani Tabora wametakiwa kutumia majiko banifu ya kisasa wakati wa kukausha tumbaku mbichi ili kuepusha ukataji miti ovyo.
Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa wilaya ya Kaliua Abel Busalama
alipokuwa akiongea na wakulima wa zao hilo ambao ni wanachama wa chama cha msingi Ugunga kilichoko katika kata Ugunga wilayani hapa.”
Busalama alisema kuwa zao la tumbaku limekuwa likilimwa na wakulima wa wilaya hiyo na Mkoa mzima wa Tabora kwa miaka mingi sana lakini zoezi la ukaushaji tumbaku mbichi limekuwa likitumia kuni nyingi sana hivyo kusababisha ukataji miti ovyo.
“Alisema kuwa hatua hiyo imechochea kwa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo na Mkoa mzima wa Tabora hivyo hatua za makusudi zinapaswa kuchukuliwa ili kukomesha hali hiyo,” Alisisistiza kuwa moja ya masharti yanayotolewa na makampuni wanunuzi wa zao hilo duniani kote ni kila mkulima kutumia jiko banifu la kisasa kukaushia tumbaku yake ikiwemo kupanda miti ya kutosha katika shamba lake.
Majiko banifu ya kisasa yanatumia kuni kidogo sana kukaushia tumbaku na yanaongeza ubora wa tumbaku ya mkulima, kuanzia sasa kila mkulima afuate maelekezo ya wataalamu na azingatie matumizi ya majiko banifu ya kisasa”alisema.

Kwa upande wake Afisa wa Kampuni ya Japan Tobacco International.

Kwa upande wake Afisa wa Kampuni ya Japan Tobacco International
inayojishuhulisha na ununuzi wa zao hilo Mkoani hapa Crispin Mchafu alisema mkakati wa kampuni hiyo ni kununua kilo nyingi zaidi ila kuna vigezo vinavyotakiwa kuzingatiwa.
Mchafu alitaja vigezo hivyo kuwa ni kila mkulima kupanda miti isiyopungua 500 na kila chama cha msingi kuwa na shamba la mfano lililopandwa miti na kila mkulima kukausha tumbaku kwa kutumia jiko banifu la kisasa ili tumbaku hiyo iwe safi.”
Alisema kigezo kingine ni usafi wa tumbaku inayozalishwa NTRM ambapo
kama wakulima watazingatia ubora JTI wako tayari kununua tumbaku yote itakayozalishwa ambapo aliwataka kuhakikisha tumbaku inakuwa safi kuanzia shambani, kwenye mabani na usafirishaji.
“We continue to see the Russian military reinforce units on their side of the border with Ukraine to the south and to the east of Ukraine,” Rear Admiral John Kirby, the Pentagon spokesman.

You may also like

5 comments

 1. Alexander Jones 6 years ago

  President Barack Obama on Friday urged Russia to stop “intimidating” Ukraine and to pull its troops back to “de-escalate the situation.” He told CBS that the troop buildup may “be an effort to intimidate Ukraine, or it may be that [Russia has] additional plans.”

  Reply Like Dislike
  1. Inna Goodman 6 years ago

   Pentagon officials say they believe there could be close to 50,000 Russian troops bordering the former Soviet republic and inside Crimea, recently seized and annexed by Moscow. That estimate is double earlier assessments, and means Russian President Vladimir Putin could order a lighting strike into Ukrainian territory with the forces already in place.

   Reply Like Dislike
 2. Kristina Generat 6 years ago

  We are concerned about Russia taking further escalatory steps with whatever number of tens of thousands of troops they have there, and have called on them not to do so.

  Reply Like Dislike
 3. Yaroslav Hripach 6 years ago

  That estimate is double earlier assessments, and means Russian President Vladimir Putin could order a lighting strike into Ukrainian territory with the forces already in place. The higher troop count was first reported by the Wall Street Journal.

  Reply Like Dislike
  1. Alexander Jones 6 years ago

   State Department spokeswoman Marie Harf played down the notion that there are as many as 100,000 Russian troops now bordering Ukraine, as Olexander Motsyk, the Ukrainian ambassador to the U.S., said Thursday on Capitol Hill. “I hadn’t actually seen the hundred-thousand number,” Harf said. “There are huge numbers of Russian troops on the Ukrainian border.

   Reply Like Dislike
Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh