BoT yabaini utapeli kwenye VICOBA

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akitoa Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma ambapo alieleza kuwa katika kipindi cha Januari–Juni 2019, Pato la Taifa lilikua kwa 6.9% ikilinganishwa na 6.8% katika kipindi kama hicho mwaka 2018.

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT)imesema imebaini uwepo wa kampuni za kitapeli zinazodai kutoa mikopo kwa wananchi nda- ni ya muda mfupi baada ya kujiunga kwa kuweka ama- na kwa njia ya mtandao.

Taarifa ya BoT kwa vy- ombo vya habari ambayo imetolewa leo Januari 9, 2020 imesema kuwa kam- puni hizo ni pamoja na ile inayojiita VICOBA Founda- tion, ambayo imekuwa iki- jinasibu kutoa mikopo ya kuanzia Sh. 2,000,000.00 hadi Sh.10,000,000.00 baada ya mteja kulipia ada ya ku- jiunga ya kati ya Shilingi za Kitanzania 200,000.00 hadi 500,000.00.

Aidha, ili kuvutia wa- nanchi, kampuni hiyo im- ekuwa ikiudanganya Umma kwamba ni Taasisi ya Seri- kali, jambo ambalo halina ukweli wowote.

Kwa mujibu wa BoT ni kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Kampuni hii haina hata ofisi

ya kudumu. Vile vile, Kam- puni hii imekuwa ikitumia majina ya viongozi wakuu wa nchi na watu mashuhuri katika kufanikisha utapeli wao yakiwemo majina ya Rais wa Jamhuri ya Muun- gano wa Tanzania,Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, Makamu wa Rais, Mhe. Sa- mia Suluhu Hasan na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.

 

“Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kwamba mmiliki wa VICOBA Foundation kwa sasa anashikiliwa na Vy- ombo vya Dola ambavyo vinaendelea na uchunguzi ili kuchukua hatua stahiki. Benki Kuu ya Tanzania kama Msimamizi wa Sekta ya Fedha, vikiwemo VICO- BA, inapenda kuutahadhari- sha Umma kutojihusisha na huduma zozote zinazotole- wa na Kampuni za namna hii ili kuzuia upotevu wa fedha zao,”imesema taarifa hiyo.

Aidha, Benki Kuu ya Tan- zania inatoa onyo kwa mtu, kikundi au taasisi yoyote

jaribu kupunguza mvutano kati ya nchi hizo mbili ambao ulizidishwa makali na mauaji ya jenerali wa ngazi ya juu wa Iran, Qassem Soleimani aliyeuawa na Marekani wiki iliyopita.

Katika hotuba yake iliyo- subiriwa kwa hamu kubwa, kiongozi huyo wa Marekani alisema hakuna mwanajeshi yeyote wa Marekani ambaye amejeruhiwa wala kuuawa katika mashabulizi hayo, yali- yotokea siku ya Jumatano in- gawa kulikuwa na uharibifu mdogo wa mahema na he- likopta.

Awali televisheni ya taifa ya Iran ilitangaza bila kutoa ushahidi kwamba wanajeshi 80 wa Marekani wameuawa katika mashambulizi hayo yaliyotokea kwenye kambi ya kikosi cha anga cha Ain al- Asad na kwamba imeziteket- eza helikopta za Marekani pamoja na ndege zisizo na rubani na vifaa vingine katika kambi hiyo.

Aidha, Trump amerudia kusema kuwa katika utawala wake, kamwe Iran haito- ruhusiwa kuwa na silaha za nyuklia. Kutokana na mauaji inayojihusisha na biashara ya upokeaji amana na/au utoaji wa mikopo bila kuwa na leseni kuacha mara moja.

Pia BoT imesema inau- kumbusha Umma kwamba

Kifungu cha 6 (1) cha Sheria ya Benki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006, kinakataza mtu yeyote ku- fanya biashara ya benki au kupokea amana kutoka kwa Umma bila kuwa na leseni kutoka Benki Kuu ya Tanzania.

Aidha, kifungu cha 16

(1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya 2018, ki- nakataza mtu binafsi, kam- puni au kikundi kilichoanza biashara kuanzia tarehe 1 Novemba 2019 kujihusisha na biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na leseni halali in- ayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania.

Watu binafsi, makampu-ni na vikundi vilivyokuw

vinatoa huduma ya kupokea amana na/au kutoa mikopo kabla ya tarehe 1 Novemba 2019, vinapaswa kuomba leseni ya biashara kutoka Benki Kuu ya Tanzania kab- la ya tarehe 31 Oktoba 2020 bila kukosa.

Hatua za kisheria zita- chukuliwa dhidi ya mtu bi- nafsi, kampuni au kikundi chochote kitakachofanya biashara ya kupokea amana na/au kutoa mikopo bila kuwa na leseni stahiki kwa mujibu wa Sheria.

“Wananchi wanaombwa kutoa taarifa Benki Kuu ya Tanzania, Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pale wanapopa- ta taarifa za uwepo wa watu binafsi, kampuni au vikundi vinavyotoa huduma za fedha bila kuwa na leseni ya Benki Kuu ya Tanzania.

“Aidha, wananchi wenye dukuduku au taarifa tajwa, wanahamasishwa kuwasi- liana na Kurugenzi ya Usi- mamizi wa Sekta ya Fedha, Benki Kuu ya Tanzania,” alisema.

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT)imesema imebaini uwepo wa kampuni za kitapeli zinazodai kutoa mikopo kwa wananchi nda- ni ya muda mfupi baada ya kujiunga kwa kuweka ama- na kwa njia ya mtandao.

You may also like

0 comments

Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh