Simba yapeta kanda ya ziwa

MABINGWA watetezi Simba jana wameibuka na ushindi wa kuichapa Alliance FC mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirum- ba mjini Mwanza. Simba SC inafikisha pointi 41 baada ya kucheza mechi 16, ikiwa imebakiza mchezo mmo-ja kuwa sawa na wengi ambao wametanguliwa mbele kwa mchezo mmoja. Katika Dakika ya […]

MABINGWA watetezi Simba jana wameibuka na ushindi wa kuichapa Alliance FC mabao 4-1

katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirum- ba mjini Mwanza.

Simba SC inafikisha pointi 41 baada ya

kucheza mechi 16, ikiwa imebakiza mchezo mmo-ja kuwa sawa na wengi ambao wametanguliwa mbele kwa mchezo mmoja.

Katika Dakika ya 27 Patrick Mwenda aliipatia timu yake ya Alliance bao ,hata hivyo katika dakika ya nyongeza 48 Jonas Mkude anasawazi- sha kwa guu lake la kulia akiwa nje ya 18.

Dakika ya 58 Kagere anafunga bao la pili aki- malizia pasi ya Clatous Chama, Dakika ya 63 Clatous Chama anafunga bao la tatu kwa faulo ak- iwa nje ya 18kwa guu la kulia.

Hata hivyo mpira ul- iokuwa na ushindani kwa timu zote mbili huku Al- liance wakijitahidi ku- kaba katika dakika ya 72 Dilunga anafunga bao la nne kwa kumalizia pasi ya Shiboub,katika daki- ka ya 73 Fraga anain- gia akichukua nafasi ya Shiboub,huku pia dakika ya 81 Ajibu ndani Chama anatoka,Dakika ya 84 Bocco anaingia kuchukua nafasi ya Dilunga.

You may also like

0 comments

Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh