Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakivalishana vyeo

Stephen H Admin See author's posts

Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakivalishana vyeo vipya mara baada ya kutunukiwa Kamisheni katika Cheo cha Luteni Usu na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

You may also like

0 comments

Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh