Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Magufuli akika- bidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House Dodoma jana.

Stephen H Admin See author's posts

You may also like

0 comments

Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh