All posts by "STELA KESSY"

Senior Writer

Na Mwandishi wetu MABINGWA wa kihistoria Yanga jana wamechezea kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mtanange uliopigwa katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika dakika ...

MABINGWA watetezi Simba jana wameibuka na ushindi wa kuichapa Alliance FC mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirum- ba mjini Mwanza. Simba SC ...

Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Haruna Shamte, Gardiel Michael, Erasto Nyoni, Kennedy Juma, Jonas Mkude/Muzamil Yassin dk65, Ibrahim Ajibu/Clatous Chama dk78, Said Hamisi Ndemla, John Bocco, Sharaf Shiboub ...

TIMU YA RIADHA TABORA YAPOKELEWA KWA SHANGWE. NA BENNY KINGSON,TABORA. TIMU ya mchezo wa riadha ya Mkoa wa Tabora imepokelewa na uongozi wa Mkoa hapa kwa furaha na shangwe baada ...

Akizungumza jana na gazeti hili mwenyekiti huyo alisema kuwa maandalizi kwa ajili ya mechi hiyo na kwa upande wao wapo tayari kwa ajili ya mechi hiyo huku wakipambana kufanya vizuri

Akitangaza majina ya wachezaji hao jana Katibu wa Timu ya Singida United,Abdurahmani Sima alisisitiza kwamba wameanza michakato ya kupata baadhi ya wachezaji wanaoona kuwa wataweza kuwasaidia kuweza kuikwamua timu hiyo ...
Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh