All posts by "OUR STAFF REPORTER"

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe  amekabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Dkt. Florens Turuka na kuanza kazi mara moja huku ...

Kupeleka hoja binafsi Bungeni kuwa Zitto adui wa Taifa Mbunge wa Jimbo la Siha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Godwin Molell anatarajia kupeleka hoja binafsi katika Bunge la Jamhuri ya ...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaonya wananchi wanaokaa karibu na milima ya Lyamba Lyamfipa kuacha maramoja kufanya shughuli za kibinaadamu katika milima hiyo baada ya shughuli hizo ...

   

RAIS Dkt. John Magufuli amewaagiza mabolizi aliowaapisha kuhakikisha wanakwenda kutekeleza majukumu yao kwa manufaa ya Tanzania. Mabalozi hao ni Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi aliyeapishwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini ...

Rais Dk. Magufuli baada ya kutoka mikoa ya Kanda ya ziwa amefiuka Dar es salaam jana na leo yupo Zanzibar akiunguruma katika kutatua matatizo ya wanyonge

MAMBO 10 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli yanayowavutia wapinzani kiasi cha kuamua kumpongeza hadharini haya hapa. Katika kipindi kifupi, Rais Dkt. Magufuli amekuwa gumzo ...

Joto la kuwania Urais mwaka huu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeanza kupanda ambapo taarifa mpya zinadai Makamu Mwenyekiti wa chama hicho upande wa Bara, Tundu Lissu anapewa ...

Tanzania ina Fursa kubwa za Kuongeza Uzalishaji wa Sukari hapa nchi— Japhet Hasunga   Richard Mwangulube Serikali imeviagiza Viwanda vinavyozalisha Sukari nchini kuhakikisha vinakuwa na mpango kazi wa kuongeza uwezo wa ...

Mhe. Rais Magufuli amewapongeza baadhi ya Watanzania walioanzisha Zoo hizo wakiwemo Lut. Jen Mstaafu Samwel Ndomba (Lugari Mini Zoo – Mbinga), Dar es Salaam Zoo, Bahari Zoo na wengine ambao ...
Online Shopping in BangladeshCheap Hotels in Bangladesh